Mahaba Ya Mwendokasi

Natamani kuwachanaa..itikia wachaneee…natamani kusemaaa….piga keleleeee, si unajua weekend ndio hii hapa…na mahaba yetu ya mwendokasi tuna shida basi? Hivi sijasalimia enh? Haya wazima nyie? Mko poa? Leo naongelea mahaba ya mwendo kasi…yaani yale mautundu yaliopitiliza hadi tunasahau kuwa kuna magonjwa na kufikishana vileleni na mimba zisizokubaliwa. So funga mkanda nisikilize basi. Kama tendo la ubakaji [...]