Natamani kuwachanaa..itikia wachaneee…natamani kusemaaa….piga keleleeee, si unajua weekend ndio hii hapa…na mahaba yetu ya mwendokasi tuna shida basi? Hivi sijasalimia enh? Haya wazima nyie? Mko poa?

Leo naongelea mahaba ya mwendo kasi…yaani yale mautundu yaliopitiliza hadi tunasahau kuwa kuna magonjwa na kufikishana vileleni na mimba zisizokubaliwa. So funga mkanda nisikilize basi.

Kama tendo la ubakaji halitokei, basi wahusika wamekubalina. Iwe kwa kulipana, au kwa kuhongana chips mayai, au kwa kulipa fadhila ya bia za bure swala ni kuwa wote mmeridhiana kuunganisha viungo vya uzazi.

Sasa kama mmekubaliana kwanini mfanye tendo hatarishi? Muwe mnajuana siku nyingi au cha fasta fasta kichakani…ni shurti kujilinda. Bull Condom zinauzwa mia tano, jamani mia tano tu hata soda moja hupati..ndani ziko tatu, maana yake vigoli vyako vitatu kwa jero tu afu ushindwe kutumia? Tufanye kubadilika.

Mabosi wa Bull Condom wanananimbia wamesambaza nchi nzima, kwa hiyo hauna sababu tena ya kutotumia mzigo. Kwa taarifa yako tu zipo kwa ladha tano, ladha ya ORANGE, BLACK, RED, BLUE na baba lao yenye vipelepele ya GOLD.

BULL CONDOM inazuia mimba zisizotarajiwa, zinazuia UKIMWI na magonjwa ya NGONO, na zaidi ya yote zinakufikisha kuleeee juu ya kilima full shangwe. Habari ndio hiyo, punguza spidi mahaba ya mwendokasi sio ishu, daima tumia BULL CONDOM.

Wasalaam,
Dr Kilele